Habari zenu wapendwa, Weekend nilipata mgeni ambae ni ndugu yangu, ameolewa ana miezi 3 tu, lililomleta hasa ni kutafuta ufumbuzi anasema tangia ameolewa Mume wake alifika kileleni siku ya Honey Moon tu wana miezi 3 sasahivi hajawai fika tena lakini akiingia uwanjani anaweza ata kukesha tatizo ni hilo hafiki mwisho, amemuuliza kwanini anasema nayeye hajui kwanini, nimeona niwaletee nyinyi wana JF mabingwa wa TIBA ya kila tatizo, maana mdogo wangu amekosa amani ameshaanza kuona kupata watoto itakuwa ndoto
Mume Hafiki Kileleni ni Kawaida au Matatizo?
Recommended Articles
- launeyempire....
Jamani Mwenzenu Demu Wangu ni Mjeuri, Anakiburi na Mkaidi Sana Nimfanyeje? Jul 18, 2017
Wana Udaku naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata as...
- launeyempire....
Hiki Ndicho Kinachoitwa Kichaa Cha MapenziJul 15, 2017
Kabla mtu hajaoa au kuolewa , huamini kabisa kwamba, kabla hajafanya mapenzi au tendo la ndoa na mtu anayemwita mpenzi wake, bado hawezi kudai kwamba,...
- launeyempire....
Waziri Mkuu Atembelea Mradi Wa Kusafirisha Umeme Lindi.......Asema changamoto ya kukatika umeme Mkoa wa Lindi kuwa historiaJul 14, 2017
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema changamoto ya kukatika umeme katika mkoa wa Lindi kuwa historia baada ya kukamilika kwa mradi wa kusafirish...
- launeyempire....
Hizi Ndizo Sababu za Lulu KupunguaJul 14, 2017
MSANII kutoka Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa mara ya kwanza amefungukia sababu zinazomfanya kupungua sana mwili kuwa ni kushinda kwa kula ma...
Labels:
launeyempire....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment