Habar
Nami
December 31, 2018 Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi amefanya mazungumzo na Waandishi wa habari ofisini kwake Dodoma ambapo ametoa ripoti ya utendaji kazi uliofanyw ana ofisi yake katika kipindi cha mwaka 2018 lakini kubw azaidi ametoa siri ya jiji lake kutajwa kuongoza kwa ukusanyaji wa mapato nchi nzima. http://bodelen.com/afu.php?zoneid=2265899
Naomba chukua muda
wako upitie ayo maelezo apo chini uielewe kampuni yenyewe na jinsi inavyofanya kazi sasa niwasihi kwamba msiwe wavivu kusoma maana kumekuwa kunaulizwa maswali yanayojirudia rudia sasa naomba muipitie hii na hakika maswali yatakuwa machache au yasiwepo kabisa labda MTU aulizie tuu link ya kujiunga na hii Fursa*
Iml ilianzishwa na christopher terry mwaka 2013..mr christopher kaanza forex trading mwaka 1998..kwahiyo ni mzoefu wa haya mambo,huko kwa ndugu zetu mtu kama huyu wanamuita "Guru of forex trading"
Lengo la christopher lilikuwa kuwasaidia watu wengi kushiriki ,na kuiweka wazi biashara hii...sio mr christopher tu wapo wengi wenye aim kama yake ila , style anayotumia christopher CEO ni tofaut sana na rahisi kutumika kwa wote
Biashara inayolipa kuliko zote duniani ni forex,,sio kulima vitunguu au nyanya,japo biashara zote zinategemeana..thaman ya sarafu flani haiwezi kupanda endapo hamna biashara za bidhaa nyingine.
Lakin pia networking inafatiwa kwa kuwaongezea kipato watu wengi na ndio maana viongozi wengi ukiwauliza ukifirisika utaanzia wapi anakwambia nitatafuta kampun yenye mfumo mzuri wa commission nianze kazi.
Sitaelezea commission bali nitaelezea trade,,au jins ambavyo unaweza kujipatia hadi 1500$ kwa siku wiki au mwezi bila ata kushirikisha mwingine.alaf hyo ya kushirikisha wengine itakuja baadae
CEO christopher terry amewaajil matraders wengine ambao anawaamini wanajua na wamefanya kazi mda mrefu kwenye forex,na hao tunawaita brokers na ndio wanaturahisishia sisi kazi ya kushiriki kwenye trade na kula vinono kama wanavyokula banks na mashirika mengi makubwa duniani.
Baadae nitaelezea kwa ufupi jinsi wanavyotumia uzoefu wao,,!
Ukijisajili ndani ya iml utakutana na mambo yafuatayo ambayo yote yatakuingizia wewe cash kila mda.
1/daily swing trade
2/harmonic scanner
3/iml tv
4/swipe trades
5/iml fusion
6/fx signalz.
Hayo ni majina tu ya mambo ambayo utakutana nayo ukijiunga,,tunaita"products" sababu kila moja inajitegemea na kila moja inalipiwa kivyake na itakuzalishia kivyake
Unapojiunga iml utatakiwa kuchagua broker"msaidizi wa kukufanyia trade"
Kama nlivyosema mwanzo kuwa iml chin ya usimamiz wa guru wa forex christopher terry imeajili brokers wazoefu ambao ndio watakusaidia wewe kwenye mambo mengi ya kutrade,,ila sasa wewe ndio boss,ndio unaamua utrade kias gan,utrade na nani,,na unaweza kuhama UKiona broker uliyopo hayupo vizuri. Japo wote ni wazoefu na wanajua.
Kabla sijaanza kuelezea product moja moja kuna maswali itabidi ujiulize na terms ndogo ndogo itabidi uzijue ambazo nitazitumia kuelezea.
Kuna kitu kinaitwa pips,,kwa wale wazoef wa forex nadhan mtakuwa mnaijua.
Mfano nimeingia kwenye trade flani(buy)kwa 1,3067$
Na baada nikatoka(sell) kwa 2,4067$.
faida nitakayokuwa nimepata ni 1,1000$ tukisogeza comma upande wa kulia kwa nafasi nne tutapata 1100.0 hiyo ndio inaitwa pips..usijal kama hujaelewa utaelewa mbeleni,nitaitumia tu kias
Kingine kinaitwa lots..
Hii ni size ya uliowekaulioweka na broker na jinsi utakavyopokea kwa kila pip inayotengenezwa.
Nitaelezea product moja moja.
Nitaanza na zile za watu ambao hawana mda wa kutosha kushika sim zao alaf namalizia na zile za wagonjwa wa online kama mimi
Iml fx signal
.kWenye hii product utalipwa 1%-2% ya ulichokiweka.
Unaporegister utatakiwa kudeposit kias flani kwa trader then yeye atafanya kazi kwaajil yako wewe hutafanya kazi yoyote.
Ni 100% hands free..yaan manake wewe ndio unafanya trade ila sababu una mambo mengine ya kufanya au sio mzoefu,trader atafanya kila kitu baada ya kudeposit tu hela kwake.
KWenye hii product kuna utaalamu hutumika ambao ndio unaifanya ipendwe na wengi.
Mfano umeweka 1000$ kesho utakuta 1000$ jumlisha na faida yako ya 1%.yaan 1010$
Siku inayofata utakuta 1010$+ 1% ya 1010$ na sio 1% ya 1000$ uliyoweka mara ya kwanza
Kwa style hiyo mtaji wako unaongezeka kila siku.
Mfano umeanza na 1000$ utakuta siku flan imeongezeka na umelipwa 1% ya 10000$ na sio 1000$ ya mwanzo...hiyo ni sababu ata faida unayopata kwa siku ya leo huitumia kwenye trade na malipo ya kesho,kwahyo hawafanyi hesabu ya kiwango cha awali tena kama ilivyo kwa banks bali wanafanya hesabu kwa hela yote ambayo imekua na ipo kwenye acc yako mda huo
Sio ajabu mtu kuweka 1 million alaf akajikuta ana 25 millions mwsho wa mwaka...shariti usiitoe tu kwa mda huo ili broker aendelee kuitumia kwenye trade..hatumii hela yake
Product ya pili inaitwa fusion trader. Usiogope majina,,hayo waliamua kuyaita tu ivyo kulingan na utendaji wake wa kazi kama unavyoona d9 inaproduct zinaitwa gold plus,mara gold,,kwa wale wanaoijua,,etc.
Kwenye product hii pia unaweza kuchagua broker mwingine tofaut na wa kwanza au ukamwachia kazi yule yule ,ni wewe tu.
Hapa utadeposit kias unachohitaji mfano 500$
Alaf utachagua broker atumie kias gani kwa kila trade atakayofanya,mfano atumie 1% tu ya zile 500$ ulizoweka kwa kila trade...yeye kwa sababu ni mtaalam akiona mda flani kuna trade inalipa,labda kwenye pair ya EUR/USD anaingia anatoa 1% anakusaidia kufanya.
Lakini pia utajaza lots,yaan kias gan cha malipo kwa kila pip..nadhan pip na lots nilizielezea mwanzon.utarefer pale.
Utaset pia stop loss mwenyew(nitaielezea kipindi kijacho) ambayo itakusaidia usipate hasara,manake broker yeye kila atakapoona trade inalipa atachukua hela na kuingia kwenye trads,wewe ndio wa kucontrol kwamba huu ndio mwisho,ukiingia ukapata hasara adi sehem hii basi usiendelee..yeye atatii.sababu wewe ni boss wake
Usisahau hao brokers ni wazoefu sana..sio rahisi kupata loss..na kama leo ukiona kwenye acc yako kuna loss ya 2% usishtuke angalia kesho,utakuta imefidiwa sabab hamna broker anaekubal kuwapa hasara wateja wake
Lakini pia kwenye hii product hela yako itaingizwa kwenye trade nyingi sana..hivyo inauwezo wa kukua mpaka ukashangaa.
Uzuri kila trade itakayokuwa inafanywa ukiingia kwenye acc yako utaiona.kwahyo hutasema kile kisingizio cha freemason ,noo..unaweza kuwithdraw unapohitaji,,kustop au kubadilisha broker mda wowote.
Hizo product mbili hutakuwa phone baby checker wa kila mda unaangalia sim yako.hapana ,ni kukabidhi na kusubil tu uwithdraw mda gan kulingana na malengo yako
Product ya tatu inaitwa swipe trade.
Hii nayo ni rahisi tu kutumia.ukiilipia hii utatakiwa kudownload app mbili ,moja inaitwa
-meta trader 4 n
-swipe trades.
Meta trader 4 unaweza kuitumia bila ata kulipia hii product,,ila sasa ujue kuna wazoefu wanamiaka ming na bado wanapata hasara,wewe je....lazima ujue kupiga hesab za stop loss,lots,pips,sell limit,buy limit,take profit na ujue pair gan zinalipa mara nyingi,manake mle trade ya pair nyingi za currency duniani ipo..ukiisearch tu utaikuta.
Huwezi pia kujua kama inatakiwa uingie kwenye trade kwa kusell au buy.
Hayo yote yamerahisishwa na hii product na app inayoitwa swipe trades
Kupitia hii app baada ya kuilipia,,kila siku utapokea details za trade mbali mbali kati ya 3-5
Hapo utapewa details zote ambazo wewe utazicopy tu na kwenda kuzijaza kule meta trade 4,..
Mfano watakwambia mteja wetu kwa sasa ingia ukafanye trade,buy pair AUD/USD(trade pair) alaf kajaze stop loss yako kias kadhaa,lots kias kadhaa,na uweke kias flan cha hela,,
Apo wewe ni kwenda tu meta trade 4 unaangalia walipo kuuliza pair unajaza uliyopewa huku kwenye app ya wataalam swipe,stop loss unajaza kama ilivyoandikwa ,etc..ndio maana ikaitwa copy na kupest alaf subil faida yako isome kwenye acc...kama unaangalizia hiv majib sahihi kwenye mtihan alaf unasubili maksi
Product nyingine inaitwa
Swing trade.
Hapa utaangalia graph uliyopewa,,mfano wakati huo trade kati ya pair EUR/USD inapanda kila mda..unachagua tu hapo hapo kwenye graph kuwa unaingia kwenye trade(buy) labda wakati huo ipo kwenye lots 1.4500
Ikifikia lots 2.9000 unatoka kwenye trade(sell) hapo unakuwa umetengeneza lots 1.4500..yaan faida mara mbili ndani ya mda mchache tu..muhim uwe unajua mda gani uingie kwenys trade na mda gan utoke..nitaelezea hii kipindi kijacho sabab inagusa wale ambao tyar wamejiunga
Product inayofata inaitwa harmonic scanner.
Hili jina linatokana na soft ware inayoitwa harmonic..iliundwa na CEO mr terry , na inauwezo wa kutabili na kusoma trade kwa usahihi wa 80%
Kupitia hii product utapata details pia za trade kazi yako kuzifata tu na kufanya trade..wao kila kitu wanakupa....hutumii ata dakika tano tyar unakuwa umeingia kwenye trade.
Huwa hamna hasara kwenye hii product..ndio maana ata banks kubwa huinunua..ni rahisi sana kuitumia. Ukisikia mtu kaweza 1000$ alaf ndan ya wiki kapata mara mbili basi hapa inawezekana..k
Kwa wiki utapokea trade 3-5 kutoka hapa..na zote za uhakika..ndan ya dakika tano unajaza detailz chache muhim basi unasubil cash kwenye acc yako ya iml
Product ya mwisho ni iml tv.
Hapa wengi watashangaa kupitia kuangalia tv unapataje cash..ipo hivi
Unapokuwa unafatilia vipindi vya iml kwanza utapata nafas ya kuelewa mengi zaidi na jinsi ya kupangilia ukaingiza cash nying zaid kwa siku.
Muhimu zaidi ni kuwa wanaotrain hufanya kwa mifano..mfano anaweza kuingia ndan ya product ya swipe ukamfatisha anavyofanya mwisho wa kipindi faida anayopata ukiangalia na wewe ni hiyo.kama amatengeneza 100$ pale pale adi mwisho wa kipindi basi kama ulikuwa unamfatisha utakuwa umetengeneza pia 100$ na unaweza kuitoa mda wowote utakaohitaji...sababu inafanyika live
*INTRODUCING IMARKETSLIVE.COM*
Dear Sir/Madam,
I would like to introduce you to *IMARKETSLIVE*, a forex and futures company which specialises in *FOREX TRADING EDUCATION* and *TRADING EXPERTISE* offering a great opportunity to invest in the forex markets and earn passive income as an independent business owner/distributor (IBO).
*BRIEF DESCRIPTION OF PRODUCTS*
*PLATINUM PACKAGE*
*1⃣TRADING EDUCATION* - IML Academy provides training on forex trading from a novice to a consistently profitable forex trader.
*2⃣HARMONIC SCANNER* - scans and analyses the forex market to identify very high probability trading opportunities and gives you trading levels.
*3⃣IML TV* - IML has Live Trading Sessions whereby a subscriber tunes into the IML trading room where you trade with the CEO and experts in the forex industry to earn whilst learning to be an independent profitable forex trader.
*4⃣DAILY SWING TRADES* - The CEO posts his daily trading analysis and you can leverage on his vast experience of over 22 years in the to profit from the forex markets.
*PLATINUM PLUS PACKAGE*
Includes Platinum Package products and below optional products;
*5⃣SWIPE TRADES ($15/m)* - This is an application on your phone where trading signals are given ready to place in the market for profit.
*6⃣FUSION TRADER ($15/m)* - This enables you to link your trading account to the experts who will trade on your behalf. These experts are amongst top traders in the industry with an impeccable track record.
*7⃣MANAGED HOSTING SERVICES ($10/m)*
This is an imarketslive managed server for hosting fusion trader non stop with no interruptions.
*COMPLETE iMarketsLive Breakdown*
Please also check out the link and the videos below to know more about this company and the products it offers.
http://www.imarketslive.com
https://youtu.be/Je7IVaglTZY
http://whatisiml.com/i-markets-live-breakdown
*RENUMERATION;*
In short you get salaries based on the number of people YOU & YOUR TEAM recruit. See column 3 & 4 on the compensation plan.
*Salaries;*
If you and your team recruit,
3 pple...........salary $150/mth
12 pple.........salary $600/mth
30 pple.........salary $1,000/mth
75 pple.........salary $2,000/mth
225 pple.......salary $5,000/mth
500pple........salary $10,000/mth
1250pple......salary $25,000/mth
2500pple......salary $50,000/mth
5000pple......salary $100,000/mth
15000pple....salary $250,000/mth
30000pple....salary $500,000/mth
*Commission;*
Plus every person you assist to trade forex you get $35 commission, then $10 and $5 when they assist another person each.
*BECOMING A CUSTOMER**
*Platinum Package*
To join you need initial subscription of $195 first month then $145/month after
*Platinum PLUS Package*
To join you need initial subscription of $235 first month then $185/month after
*2 & Free*
When you assist 2 people to start their iml journey your customer subscription will be free as long as they remain customers.
Let me know if you need any further information and clarrification as we travel this journey together towards our financial independence.
If you want to join direct put entrance fee of $195 into your visa card ,master cars or bitcoin wallet .And then register yourself
By using this link
https://munguatoshaimarketslive.co/customer.html
Incase you need anything contact me via Whatsapp +255714303409
[8:54PM, 11/16/2017] Imatheboy classic: ⛔*FOREX TRADING*
Forex ni kifupi cha maneno mawili *_For_*eign *_Ex_*change yenye maana Biashara ya kubadilisha fedha za kigeni.
Kwa hiyo Forex ni biashara ya fedha kwa fedha duniani kati ya sarafu moja na nyingine
Kutegemea na sarafu husika dhidi ya sarafu nyingine.
Biashara ya forex ni miongoni mwa biashara zenye mzunguko mkiubwa sana wa pesa ,zaidi ya us dollar trillion 5 kwa siku zinakuwa kwenye mzunguko wakati ,ukiangalia tu taifa kama marekani bajeti yake ni kama trillion 3 kwa mwaka mzima wa fedha.
Kwahiyo kinachotokea kwenye forex ili mtu apate faida ni kuuza pesa wakati imepanda na kununua wakati imeshuka ,sasa kitu kingine kikubwa ukiwa unafanya forex unideal na pesa zaidi ya moja
Sasa kuna maneno muhimu ambayo unatakiwa uyajue kwenye forex.
▫ *Currency pair*
Hii ni pair ya pesa ambayo unaweza kuuza au kununua mfano EUR/USD.
Hapo inamaanisha euro against dollar.
Pia hizo pesa zinakuwa na majina yake mfano
*EUR/USD*
Sarafu iliyotangulia inaitwa *_basic currency_* mfano hapo juu ni EUR.
Sarafu inayofuata baada ya slashi inaitwa *_quote currency_* mfano hapo juu ni USD
*Baada ya hapo ukifanya hii biashara kuna maneno mawili yanatumika pia
(Kama unatrade mwenyewe).
*Ask price na Bid Price*
Ask Price hii ni bei ambayo wewe utatumia kununua hizo pair za sarafu .
Bid Price hii ni bei ambayo utatumia wewe kuuza hizo pair zako za sarafu.
⛔ *Nini kinafanya watu watengeneza pesa kwa mzunguko huo*
Kwenye pair hizi za sarafu kuna kupanda na kushuka kwa thamani ya sarafu kulingana na uhitaji au mabadiliko yoyote katika uchumi wan chi ,sasa kubadilika huku ndo kunafanya wewe kama mfanya biashara utengeneza pesa.
" _Mfano_" leo dola moja ni sawa Tshs 2240.026 umenunua kwa bei hii,baadaye join dola ikawa ni sawa na 2240.046 ukaamua kuuza ,sasa hapo ndo unapotengenza faida
Ukichukua 2246-2226= ukitoa hapo utapata tshs 40 ,sasa chukulia hapo ulinunua na kuuza dola 1000 ambazo kwa tshs ukizidisha hyo 40*1000 = tshs 40,000.
Hivyo ndivyo biashara hii inavyozalisha pesa sasa hapo nimetumia mfano wa pesa zetu za Tshs ili tuelewe.
⛔ *Forex ipo kwa mda gani?*
Forex ipo kwa muda mrefu ambapo mwanzoni ilikuwa inafanywa na matajiri na bank kubwa tu ,sasa hivi forex imeanza kujulikana hata kwa watu wa kipato cha chini kama mimi na wewe ili tuweze kunufaika na kubadili maisha yetu.
*Vitu ambavyo utahitaji ili uweze kufanya biashara hii*
1.➖Kwanza elimu ya biashara hii ,biashara yoyote bila elimu ni Kamari.
Elimu hii ni ili uweze kujua nini kitasababisha sarafu ipande au ishuke ,wakati gani ni mzuri wa kufanya biashara.
2. ➖Utahitaji software mbalimbali zitakazokusaidia kufanya biashara.
Hizi software zipo kwa ajili ya kuonyesha trend kwamba sarafu hii uelekeo wake ukoje.
Pia hapa ipo megatrade kwa ajili yaw ewe kuanza kununua na kuuza sarafu.
3. ➖Utahitaji broker.
Huyu ndo anayehitajika katika kutrade huyu ndo mtu /kampuni ambayo unaweka pesa zako kwa ajili ya kutrade,kampuni ya forex inaruhusu kufanya biashara na pesa ulizoweka kwa broker tu,sio pesa zako bank kama unafanya biashara ya mahindi.
Hivo ni vitu muhimu na vichache ambavyo unapaswa kuvijua kabla ya kuanza kutrade.
⛔ *IML NI KAMPUNI INAYOSAIDIA WATU KUFANYA FOREX TRADING*
Kampuni hii ipo kwenye forex trading tangu mwaka 2013 na kampuni hii ipo kwenye mataifa zaidi 120.
Kampuni hii ina uzoefu wa kufanya biashara hii ya Forex kwa kiasi cha kuweza kukupatia utajiri mkubwaa sana ambapo hakuna kampuni nyingine inaweza kufanya hivyo.
*SOFTWARE 7 ZILIZOPO IML KUKUFANYA MILIONEA*
*1.⏹IML FX ACADEMY*
Hii ni shule au elimu juu ya forex trading kwanzia level ya chini kwa wale wanaoanza mpaka level ya juu ili mtu awe gwiji kwenye biashara.
*Note* _Usiogope kwa kuwa software nyingi za fx zinatrade zenyewe na chache znakuhitaji ila iml hawataki uake gizani watakupa elimu ile inayotumika ili nawewe uweze kuwa mtaalamu sio kua mtazamaji pesa zikiingia._
*2.⏹IML TV*
Hii ni tv ya iml ambayo unakuwa live na wakufunzi wa iml kwa ajili ya kujifunza na pia kama una swali unaweza kuuliza na kujibiwa live kwa vitendo huku unaona.
*3.⏹SWING TRADE*
Hii ni application ambayo unatumia kufanyia biashara ,ni kwamba ceo mwenyewe anakutumia meseji 3 mpaka 5 kwa wiki za data ambazo wewe unakopy na kupaste kwenye hii application ili utrade ,kwa kuwa ceo mwenyewe amefanya biashara hii kwa muda mrefu hivyo utanufaika nazo.
*4.⏹SWIPE TRADE*
Hii pia ni application ya kucopy data na kupaste yani kwa siku unapokea hadi meseji 5 hadi 7 ambazo unacopy na kupaste kwenye application yako ya meta trade 4 ambapo itatrade baada ya trade utaona faida yako.
Hii ni application ambayo ukiitumia vizuri unaweza pata dolla 1000 mpaka 1500 kwa siku.
*5.⏹Harmonics scanner*
Kama nilivyosema kwenye Makala iliyopita hii ni kwa ajili ya kutabiri mueleko wa pesa kwamba itapanda au itashuka ,kwa tafiti zilizofanyika kuhusu scanner hii zinathibitisha kuwa efficieny au ufanisi wake ni asilimia 80.
*6. ⏹Fx Signal*
Hii nia application ambayo tunasema mtu anatumia kuinvest pesa zake na yenyewe inazalisha kwa kufanya compounding wakati wa kutrade kwa asilimia moja guaranteed mfano umweke dola 1000 leo maana ake kesho ztakuwepo dola 1010 ,kesho kutwa wakati wa kutrade itatumia hzo 1010 kutrade.
*Note* _Unaruhusiwa kuweka pesa na kutoa pesa muda wowote ila tunashauri ukiweka pesa humu uiache angalau muda wa miezi 3 au 6 au mwaka ,yani kama una malango labda ya kujenga au kununua gari basi weka pesa hyo hapa._
*7.⏹Infusional trade*
Hii ipo kama Fx signal kwenye kufanya kazi tofauti ni kwamba kiwango cha chini cha pesa kwenye hii ni dolla 300 ndo itaztrade wakati ,Fx signal inatrade kwanzia dola 200
Na pia hii ina perfomance kubwa sana.
⛔IML INA NJIA TATU ZA KUINGIZA PESA
*1.▪Auto Trading*
Hii ni ile njia ambayo wewe unainvest pesa yako kwenye software kama fx signal au infusional tader na pesa yenyewe inaendelea kuzalisha kila siku ,huku ukiwa na uhuru wa kuongeza ua kutoa wakati wowote.
*2.▪Copy and paste*
Hii ni njia ambayo unatrade mwenyewe kwa kucopy na kupaste meseji unazpokea kwenye ilie software ya swipe trade
*3.▪Network Marketing*
*A.▫Kuleta mtu*
Unapoleta mtu au team yako inapoleta mtu unalipwa kulingana na vizazi .
Kizazi cha kwanza dola 35.
Mtu utakayemleta wewe mwenyewe ndo anaitwa kizazi cha kwanza.
Kizazi cha pili dola 10
Huyu ni mtu aliyeletwa na mtu wako wa kizazi cha kwanza(yani na mtu uliyemleta wewe mwenyewe).
Kizazi cha tatu dola 5
Huyu ni mtu aliyeletwa na mtu wa kizazi cha pili.
*B.▫Malipo ya kila mwezi*
Kampuni inapendekeza mfumo wa watu watatu watatu yani kama umeamua kutumia njia hii ulete watu watatu ,na hao watu watatu ukiwaleta uwafundishe kuleta watatu wenzao
Na malipo yako hivi:-
➖Watu 3 dola 150 kila mwezi.
➖Watu 12 dola 600 kila mwezi.
➖Watu 30 dola 1000 kila mwezi.
Hebu imagine wewe kuleta watu watatu tu wafanye forex unakuwa unapokea laki 3 na zaid kila mwez.
➖Watu 12 unapokea zaidi ya million moja kila mwezi.
*_Note malipo haya hugawanywa kwa mwezi mara 4 hivyo kila week ijumaa unapokea_*
Pia kufanya network marketing kwenye kampuni ni option sio lazima
Bonyeza links zifuatazo kusoma zaidi na kuapply: 2 Job Opportinities at World Vision Tanzania 4 Jobs Opportunities at Morogoro In...