Breaking

NJISI YA KUWEKEZA PESA KIDOGOKIDOGO NA KUBADILI MAISHA YAKOO!!!!

NJISI YA KUWEKEZA PESA KIDOGOKIDOGO NA KUBADILI MAISHA YAKOO!!!!
   Kuna a in a NNE za utafutaji we pesa
1.Kuajiliwa
Ukiajiliwa Mara nyingi unakosa uhuru wa muda na fedha,hivyo unapo ajiliwa lazima uwe na plan B katka maisha yako
2.kujiajiri
Kujiajiri mara nyingi unkosa uhuru wa muda, hebu fikiria mangi anaye uza duka lake mwenyewe huwezi kutoka halo wakati wowote biashara inakuhitaji ukitoka tu kuna uwezekano mkubwa we kupoteza mapato.
Sass a in a mbili zlizobaki ndizo aina ambazo mtu ukizitumia vizur unapata uhuru wa  kifedha na muda.
3.kumiliki biashara kubwa
Mfano anayemiliki hotel kubwa hahitaji kuwepo ili kazi ziende. Mana majukumu yoke amewapa wasomi wafanye kazi  Ana muhasibu wake, mwanasheria,manager wake. Wote hawa wanafanya majukum ya mwaenye biashara na kulipwa huku yeye anakuwa na UHURU wa FEDHA na MUDA.
4.KUWEKEZA
hapa nikwamba unakuwa na mradi au pesa zinakufanyia kazi wewe,Mfano mtu anayejenga nyumba ya kupanga yeye kazi yake ni kukusanya KODI nk.
Sasa maranyingi watu tunapenda kuwekeza.ila changa moto kubwa ni MTAJI kwasababu uwekezaji mwingi unahitaji MTAJI MKUBWA ambao watu wa chini  TUNASHINDWA
Kutokana kutanuka na kukuwa kwa dunia kumetokea UWEKEZAJI ambao unahitaji MTAJI MDOGO ili watu wengi waweze kuwekeza
IWE WEWE NI MWLIMU,MWANAFUNZI,NFANYAKAZI,AU MTU ULIYE JIAJILI
SASA KARIBU UPATE MUONGOZO NJINSI YA KUWEKEZA KWA MTAJI MDOGO

No comments:

Post a Comment